Mwongozo kwa anaeanza
Muongozo huu unaonyesa hatua kwa hatua jinsi ya kuanza katika OpenStreetMap (Ramani Huria). Utajifnza jinsi ya kusajiri akaunti, jinsi ya kutumia program za kutengeneza ramani, na kutoka inje ili kukusanya tarifa za kuweka kwenye ramani.
Kwa sura zinazofuata unaweza kujifunza jinsi ya kutoka nje na kukusanya taarifa za kuweka kwenye ramani.Sura zinazofuata zinataarifa kuhusu remote mapping
Huu muongozo unaweza kupakuliwa kama beginner_sw.odt au beginner_sw.pdf